Nadharia za uhakiki wa fasihi.

Swala la uhakiki kama fasili ya fasihi ni swala ambalo limeendelea na kukua sana kihistoria. Ni swala pana sana na ni swala lenye utata mwingi. Uhakiki ni swala lililoendelea kwa sababu kila kuchapo panatokea nadharia au maelezo mapya kulihusu. Kwa mfano, hapo jadi palikuwa na uhakiki uliohusu umithilishi, uasilia, na urasmi. Lakini baadaye pakaingia uhalisia, […]

Nadharia za uhakiki wa fasihi.…..

Leave a comment