VIVUMISHI KATIKA NGELI TOFAUTI. (ADJECTIVES IN VARIOUS NOUN CLASSES).
Kivumishi ni neno/maneno yanayotoa taarifa ya ziada katika nomino. Kivumishi hufanya kazi ya kufafanua/kuelezea zaidi kuhusu nomino ili kupambanua/kuitofautisha nomino husika miongoni mwa nomino nyingine.
Aghalabu vivumishi hutanguliwa na nomino.
AINA ZA VIVUMISHI.
a. Vivumishi vya sifa
b. Vivumishi vya idadi au kiasi.
c. Vivumishi vya kuuliza.
d. Vivumishi vya kuonesha/ viashiria e. Vivumishi vya kumiliki.
f. Vivumishi vya –a unganifu.
g. Vivumishi vya amba h.
Vivumishi vya pekee.
i. Vivumishi vya jina/nomino.
j. Vivumishi vya ki-mfanano
Vivumishi vilivyo hapa chini vimetambulishwa bila kiambishi awali chochote, ili uweze kuvitambua kutoka katika mizizi yao.
Vivumishi hupitisha kiambishi awali kinachokubaliana na nomino inayostahiki.
Makubaliano ya viambishi awali yanategemea Ngeli za nomino ambavyo vinakubaliana nazo.
The adjectives below are introduced without any prefix, so that you may recognize them from their roots.
Adjectives adopt the prefix that agrees with the noun they qualify in.
The agreement of the prefixes is identical to the class prefixes of the nouns with which they agree.
Mifano:
1. -zuri [good, nice, beautiful]
2. -baya [bad]
3. -dogo [small, little]
4. -kubwa [big]
5. -ingi [a lot, many]
6. -chache [a few, some]
7. -refu [tall]
8. -fupi [short]
9. -zee [old]
10. -pya [new]
11. -changa [young]
12. -haba [few]
13. -tele [plenty]
C). Adjectives with Bantu origin
-ke [female]
-baya [bad] -kubwa [big]
-bichi [unripe] -kuu [great]
-bivu [ripe] -kuukuu [old]
-bovu [bad] -moja [one]
-chache [few] -nene [big]
-choyo [stingy/mean] -nono [fat]
-dogo [small] -ororo [soft]
-ekundu [red] -ovu [evil]
-ema [fine] -pana [wide]
-embamba [thin/slender] -pya [new]
-epesi [light] -refu [tall]
-erevu [clever] -tamu [sweet]
-eupe [white] -tupu [empty]
-eusi [black] -ume [male]
-fupi [short] -vivu [weak]
-geni [new] -zee [old]
-gumu [hard] -zima [whole]
-kali [fierce] -zito [heavy]
-kavu [dry] -zuri [good]
-katili [mean]
D). Adjectives with non‐Bantu origin
These borrowed adjectives do not have prefixes
bora [suitable]
safi [clean]
nadhifu [clean/smart]
dhalili [weak/feable]
duni [insignificant person/lowly]
rahisi [cheap]
ghali [expensive/exorbitant]
baridi [cold]
hodari [skilled]
tele [abundant]
kamili [exact]
haba [rare]
muhimu [important]
shujaa [brave]
stadi [steadfast]
bingwa [winner/victor]
E). Verbal Adjectives
-angavu [bright]
-vumilivu [persevering]
-changamfu [happy]
-tulivu [calm]
-tukufu [excellency]
-dhaifu [weak]
-takatifu [holy]
-nyamavu [silent]
-kunjufu [pure (heart)]
-potovu [wayward
VITENZI/VERBS
Kiswahili
English
Lala
Sleep
Kimbia
Run
Cheza
Play
Iba
Steal
Penda
Love/like
Imba
Sing
Nunua
Buy
Kunywa
Drink
Kata
Cut
Jenga
Build
Pika
Cook
Piga
Beat
Sumbua
Disturb
Pigana
Figt
Lia
Cry
Cheka
Laugh
Fua / safisha / osha
Wash
Kiswahili
English

Good work ndugu
LikeLike
Asante ndugu Derrick
LikeLike