Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
"Tazama, mametu maria atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, nao watamwita jina lake Imanueli, maana yake, Mungu pamoja nasi."
Nakutakieni kheri ya mwezi huu.
Bofya chini u subscribe kwa taarifa.

