HISTORIA FUPI YA ANKOLE .
Wahenga hushikilia kwamba mkaaji wa kwanza wa Ankole alikuwa Ruhanga (muumba), ambaye inaaminika kuwa alitoka mbinguni kutawala dunia.
Pia, inaaminika kwamba Ruhanga alikuja na wanawe watatu Kairu , Kakama na Kahima .
Kuna hadithi kuhusu jinsi Ruhanga alivyotoa mtihani wa kujua ni nani kati ya wanawe angekuwa mrithi.
Jaribio linasemekana lilikuwa la kuweka vyungu vilivyojaa maziwa mapajani mwao usiku kucha.
Mwisho wa siku, mtoto mdogo wa kiume, Kakama , anasemekana kuwa alifaulu mtihani huo akifuatiwa na Kahima na wa mwisho alikuja mtoto wa kwanza aliyewazidi umri Kairu 🤣.
Kwa kuangalia ufaulu katika mtihani huo, Ruhanga inadaiwa kuwa aliamuru kwamba Kairu Kahima watamtumikia ndugu yao Kakama.
Baada ya hapo alirudi mbinguni, akimuacha Kakama au Ruhanga, kama alivyoitwa pia, kuitawala nchi.
Hadithi hii inaonyesha utabaka wa kijamii katika jamii ya Ankole. Ilitungwa ili kuwafanya Bairu wakubali nafasi yao ya utumishi kwa Bahima kama wakubwa na viongozi wao walioaminika kitambo.
✍️

ISBN 9789970026890
Pages 76
Dimensions 216 x 140 mm
Illustrations B/W Illustrations and Maps
Published 2008
Publisher Fountain Publishers, Uganda
Format Paperbackhttps://www.africanbookscollective.com/books/a-history-of-ankole/@@cover
LikeLiked by 1 person
Which book?
LikeLike
Habari ya jioni kaka.
Rejelea jina langu hapo chini. Mwanafunzi was MAKiswahili at University of Dar es salaam. Msaada unahitajika hapa kutoka kwako, yaani nisaidie na historian ya wanyankole kwa mujibu wa wataalamu tofauti.
Nashukuru.
LikeLike
ISBN 9789970026890
Pages 76
Dimensions 216 x 140 mm
Illustrations B/W Illustrations and Maps
Published 2008
Publisher Fountain Publishers, Uganda
Format Paperback
LikeLike
Sawa nitajaribu nitafute
LikeLike